Karibu Katika mtandao wa Shirika la Cartoon Forum Tanzania, katika mtandao huu utapata kujua mambo mengi kuhusiana na Shirika hili pia kupata matukio, picha na katuni mbalimbali zenye kuelimisha. Hivyo ni nafasi yako kujifunza na pia kutoa maoni yako, KARIBU SANA...

Events

Baadhi ya washiriki wa mkutano wa kupiga vita Rushwa ya Ngono uliofanyika tarehe 8 Desemba katika ukumbi wa TGNP Mabibo Dar es Salaam wakiwa na mabango yanayotoa ujumbe dhidi ya vitendo hivyo.Mkutano huo uliandaliwa na Women Fund Tanzania

No comments:

Post a Comment