Karibu Katika mtandao wa Shirika la Cartoon Forum Tanzania, katika mtandao huu utapata kujua mambo mengi kuhusiana na Shirika hili pia kupata matukio, picha na katuni mbalimbali zenye kuelimisha. Hivyo ni nafasi yako kujifunza na pia kutoa maoni yako, KARIBU SANA...

Fomu ya kujiunga nasi





Fuata maelekezo: Ukishafungua fomu nenda kwenye save as kisha print na ijaze, baada ya hapo iscan au Ipige picha na kututumia kupitia E-mail yetu. cartoonforumtz@gmail.com  (`Hakikisha ukipiga picha, piga katika camera inayoonyesha vizuri picha.)

No comments:

Post a Comment